SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
“Samaki ukiwakaanga wengi utawunguza mikia” Mapenzi na kazihayaingiliani. Flash-Disk yenye ushahidi wa kuangamiza inagombewa na Doctor (JB) na mkewe Rebecca (IRENE UWOYA). Kila mmoja wao anaunda kundi la wapambe wao kupigania kuipata Flash-Disk yenyewe. Je, ni kundi la mke au mume litakalofanikiwa? Je, sheria nayo itatupia jich na mkono wake mrefu?
Cast: Jacob Steven, Hisan Muya, Irene Uwoya, Jacquiline Wolper
Camera - Rashi Mrutu, ex-Producer - Irene Uwoya, Location - Joseph Uwoya, Director - Jacob Steven