Categories

Fake Pastors

Genre: Drama, Fantasy, Spiritual,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2007

Vijana watanashati Vicent Kigosi (Patric) na Adam Philip Kuambiana (Petro) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro Vichwani mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na digree masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.

Baada ya kutembea katika ofisi moja hadi nyingine wakitafuta kazi bila mafanikio, hatimaye wanagundua kuanzisha kanisa ndio suluhisho pekee walilobakiza hivyo wanaamua kuwa wachungaji wa uongo (Fake Pastors) na kuanzisha kanisa kwa lengo la kujitajirisha badala ya kumtumikia Mungu, kazi yao inakuwa ni kuwakamua waumini fedha na mali walizonazo.  Kwakufanya hivyo wanajikusanyia utajiri mkubwa hasa baada ya misada kuanzia kuingia kutoka nje kwa wahisani, baadala ya kufanya kazi ya Mungu wao wanazitumia fedha hizo katika anasa wakilewa pombe na knunua Malaya usiku na ifikapo asubuhi wahubiri injili kama kawaida na kuwfanya wamini wazidi kuwaumini.  Baadae walipjingiza katika biashara haramu dawa za kulevya ndipo Mungu Mbinguni alipoamua kuingilia kati na kuwaadhibu vibaya.

Cast: Adam Philip Huambiana (Petro), Vicent Kigosi (Ray),  Jokette Mwegelo (Jach), Lisa Jensen (Lisa), Blandina Chagula

Producer- Vicent Kigosi, Executive Producer- Eric Shigongo, Director- Gervas Kasiga

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy