Categories

Happy Couples

Genre: Drama, Musical, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009

Fani(Producer) anataka dada yake Maunda (Mwanamuziki) aolewe na rafiki yake wa karibu, haruni (Actor) ambaye anamahusiano ya siri na clara (Actress) ambaye ni mchimba wa Fani
Maunda hayupo tayari kuolewa na Haruni kwasababu tayari anampenda Buyu (Freelancer) ambaye anaishi pamoja na marafiki zake waliomaliza shule pamoja, Kenny na Eugine
Kenny (Radio Presenter) anampenda Eugine (Jounalist) lakini anashindwa kutokana na mazoea ya uanfiki wa kawaida, hali hiyo Eugine naye anayo kwa Buyu lakini pia anashindwa kumwambia…

PiliPili Entertainment Co. Ltd. Produced by Sameer Srivastava & Sanji Srivastava, Written & Directed by Parvez Nageeb, Director of Photography Vonod Panchal, Editor Roopendra Raghav, Art Director Rites Jadhav, Visual Effects Shazzad Khan

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy