SKU: DT461 | DVD I | Year - 2010
Ilikuwa harusi ya utata pale ilipofungwa harusi ya Angel John “Candy” na Michael Kigahe “James” kwa furaha na msafara kuanza kuelekea kwenye hotel ya kitalii iliyopo pembezoni mwa bahari y hindi, ghafla msafara unatekwa na watu wasiojulikana na kufanikiwa \kutoroka na bi Harusi Candy na Kwenda kumficha kwa millionea mfanyabiashara haramu Matoi “Mr Bha”
Njama za kutekwa Bi Harusi zimefanywa na Matron wake, je lengo la Matron litafanikiwa?
Je James nae atafanikiwa kujua alipofichwa au kumuokoa Candy? Angalia “Harusi ya Candy” upate majibu ya maswali yote haya
Casts: Ajela John, Michael Kigahe, Lucy Paterrly, Eliya Mjata, Abdulawahid Matai, Michael John, Aziz Matai, Lamek Katoto, Ezrone Munuo, Kahabi, Shufaa Mohamed, Fina Kessy, Iddi Salim, Sabrina Mohamed, Maria Osward, Amina Kupaza, Shemweta Saidi, Stanley Martin, Tonito
A Tuesday Kihangala Film presents Harusi ya Candy, Director Tuesday Kihangala,