SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Hakuna Marefu yasiyo na ncha, mateso yangu aliyaona na tabu zake nilizonazo, kila chozi nililolidondosha lilileta faraja kwa familia hii, kuwa msichana wa kazi kumenifunza mengi…
Casts: Grace Mapunda, Rose Ndauka, Jennifer Kyaka, Hemed Suleiman
Ex Producer Leah Richard, Director Leah Richard, Camera Man Farid Uwezo, Production Uwezo Production, Editor Farid Uwezo, Script & Story Leah Richard