Categories

Jeraha la Moyo

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Kisa kinachohusu wanandoa wawili waliopendana sana, waliishi pamoja katika mapenzi yaliyowashangaza wengi takribani miaka zaidi ya minane bila kupata watoto, haikuteteresha ndoa yao, walikuwa kama ambari na zinduna. Ghafla kisa cha huzuni kinaikumba ndoa hii na kuingia katika mtihani mkubwa, shetani anatia mikono yake wakati mbao wanandoa hawa wanjiandaa kupata mtoto, maskini furaha iangeuka kuwa balaa lisilowahi kutokea katika maisha yao yote, ndoa inakuwa ndoano, kila mmoja hakamatiki

Casts: Kajala Masanja, Elizabeth Swinny, Zamaradi Salum, Zuwena Mussa, Marry Mtemi

Story & Script by Cynthia Cloud & Issa Mussa (112 Cloud), Editor Sama, Camera Nick, Production E-Media, Director Issa Mussa Cloud

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy