SKU: DT461 | DVD I | Year - 2010
Jitu ni mtu aliyekuwa akiishi msituni miaka mingi na kuingia katika kijiji cha mchambawima na kufanya matukio ya ukabaji kwa mabinti na kumteka mtoto Kalunde na kukimbia nae msituni.. Mzee Msisili alitoa tamko kwa wana kijiji na kuwatuma mashujaa kwenye msitu wa kidagaa. Je, nini hatima ya Jitu na mashujaa ndani ya msitu wa Kidagaa? fuatilia kisa hiki
Casts: Khassan Chilimi, Fadhili Msisiri, Deboa Dickson, Juma Kankaa, Allan Said Kayama
Camera Juma Seleman, Written by Abdallah Mrisho, Story by Abdallah Mrisha, Sound Alphonce Shina, Director Kayama, Light Allan Saidi, Executive Producer Slash, Produced by Mohamed Mwikongi