Categories

Jumba la Dhahabu Season 4

Genre: Adventure, Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2013

Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa JUMBA LA DHAHABU lakini haukubahatika kuiona, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha hamu. Kama wewe ni Mtanzania au Mwafrica basi jivunie Uafrica wako kwa kupenda na kuunga mkono kazi za nyumbani.

Mwaka 2007 -2008 ilitesa sana TBC1, mwaka 2009-2010 ilisumbua sana sana Africa Magic na sasa inapatikana katika DVD and VCD mwanzo mpaka mwisho. Huu ni wakati wako wa kujipatia nakala halali ili ufuatilie tamthilia hii kali ya JUMBA LA DHAHABU yenye kisa kizito cha jini KABUKA aliyeibuka na kuchanganya akili za wanadamu…

Casts: Mzee Chilo, Joan Chilo, Jini Kabula, Rado, Angel John Komba ‘Winter’, Cecilia Sengerema ‘Mamtei’, Bajomba, Tuesday (Mr. Chuz)

Script Tuesday Kihangala, Story by Tuesday Kihangala, Producer Tuesday Kihangala, Executive Producer Tuesday Film Production, Director Tuesday Kihangala, Sound Omary Idd, Cameraman Ramadhani Juma/Mathias Chalange/ Ibrahim Kitimbu

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy