Categories

Kaburi la Safia

Genre: Horror,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year -

JE, ni kweli kaburi linaweza kutoa adhabu kwa aliyekosea? Jibu utalipata kwenye filamu hii ya Kaburi la Safia. Baadhi ya wanababa huwanyanyasa wake zao hasa pale anapokuwa na pesa nyingi,
anajihisi Kuwa lolote anaweza kulifanya kutokana na pesa zake bila kujali Mungu yupo. Lakini wamoja ni wamoja tu, hasa pale unapomsahau mungu.

Casts: Idd s. Akrama, Zaituni Mpenda, Mwalimu Ally, Kulwa Juma, Emma Sizya, Shani Sadiki, Omari Iddi, Joseph Mkumbaya, Bharat Vyas

Mtunzi Tuesday Kihangala, Muongozaji Severine Kiwango, Mtayarishaji Farhad Mohammed
A Wananchi Wote Production

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy