Categories

Kolelo

Genre: Adventure, Drama, Fantasy,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Kwamba wafu hurudi tena duniani!! Pengine hizi ni habari mpya kabisa kusikika masikioni mwa watu wengi, lakini kwa watu wa Mvuha, kusikia magharibi wa mjini wenye milima mingi nchini Tanzania, Morogoro kwao hizi ni simulizi za matukio thabiti ya karne ya 19 kuhusu mzimu waliouamini, Mzimu wa Kolelo. Zipo njia tatu za kukufikisha kwenye pango la miujiza ya mzimu huu kwa kiluguru lililopo katika mlima Kolelo, uende mwenyewe kama una shida ya kutatuliwa tatizo lako ambapo wengi wamefanya hivyo, au uitwe na Kolelo mwenyewe ambapo huwezi kumkatalia. Ukishindwa yote hayo mawili au uiangalie filamu hii ya Irene Sanga wa Vango production.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy