SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Dhambi ya ualiti haikomi mara moja, ukisaliti lazima na wewe utasalitiwa tu na siku zote malipo ni hapahapa duniani. Mpambe wa bwana harusi anaingia tamaa ya kumsaliti bwana harusi kwa kumtaka mkewe…
fuatilia kisa hiki
Casts: Gilbert V. Sindani, Rihama Ally, Ruth Suka, Chilangu Kambarage, Salim Ahmed
Camera Sunday Hashimi, Production Manager Maleya Singibala & Christina Godfrey, Story & Script Gilbert V. Sindani, Editor Timoth Conrad (TICO), Producer Davis P. Kaole, Director Juma Kilowoko