Categories

Lugha Mseto

Genre: Comedy,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012

Lugha mseto ni filamu inayozungumzia msichana mrembo anayeitwa Rukia. Ni mtoto aliyezaliwa hapa hapa Tanzania, amesoma hapahapa kuanzia darasa la kwanza hadi kiato cha sita (6) , alibahatika kusafiri kwenda uingereza ailikaa kwa muda wa wiki moja tu kisha akarudi hapa nchini nchini Tanzania, kitu cha kushangaza baada ya kurudi hajui tena kiswahili, je jambo hili linawezekana? ndani ya lugha mseto japo yaliyojiri…

Casts: Mboto, Kingwendu, Ringo, Rikia, Kiwewe, Tiniwhite

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy