Categories

Maisha

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Ni story inayozungumzia kijana FAISAL mweney kumiliki mke mmoja. Hapo katikati anakuja kukumbana na misukosuko ya maisha inayosababishwa na familia yake na mengine na wafanyakazi wenzake ofisini, FAISAL alikuwa mchapakazi hodari lakini mwisho wa siku anakuja kuishia kwenye joto kali la mapolisi. Dada mrembo mmoja ni secretary wa kampuni yao FAISAL ndio shujaa na ndio anakuja kumsaidia FAISAL. Wengi wanajiuliza MAISHA ni nini? Fuatilia story ya maisha kwa umakini ili uweze kujua kujuwa maisha ni kitu gain.

Cast: Issa Mussa (Cloud 112); Hashim Kambi; Suleiman Barafu; Libert Abdallah; Yusuph Embe; Elizabeth Swimy & Irene Kanga.

Story: Script & Producer- CY & CL Company; Camera- Said Mangushi; Production- Digital Arts; Director- Issa Mussa Cloud 112.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy