SKU: DT461 | DVD I | Year - 2008
Rashird Bigobire ni kijana mkubwa kuzaliwa katika familia ya Mzee Bahabe baada ya wazazi kufariki, aliwajibika kuwatunza wadogo zake… lakini anakutana na marafiki wa uongo ambao wanamshawishi auze mali za urithi ili wakatafute maisha nchi za nje, naye bila kufikiri kwa kina anauza kila kitu na kuwatelekeza nduguze na kuondoka!!! Je itakuwaje? Fuatilia kisa hiki chenye mafunzo ndani yake.