SKU: DT461 | DVD I | Year -
Thomas ni rafiki mkubwa wa Mabala, urafiki wao unaingia dosari pale Thomas anapomzungusha Mabala kumlipa pesa zake, baadaye Mabala anagundua kuwa Thomas hana nia ya kumlipa pesa zake… je? Mabala atafanya nini?
Casts: Phina Kessy, Eliyah Mjata, Deogratius Shija
Mtunzi Deogratius Shija, Muongozaji Elijah Mjata, Mtayarishaji Mkuu Simulizi Production