SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Ni kipindi kigumu sana kwa mwanadamu katika mapito haya ya dunia, tunasahau kumcha mungu na kuingia katika vitendo ambavyo mwisho wake huwa majuto. Ni vitendo ganio tunafanya ambayo si vizuri katika kipindi hiki cha mapito?
Story: Adam Joseph Mwassa, Producer: Mohamed Nurdin, Director: Mohamed Nurdin, Production: Cb Production, Camera: Mohamed Abubakar (Kibadadi) Edition: Paul Isangi