SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Kisa hiki cha mchanga na keni tunaona jinsi gani matumizi ya ardhi yanavyotumiwa vibaya kiasi keni anajikuta anaathiri vitu vilivyomo kwenye mchanga na kuzua maafa makubwa katika kitongoji cha tabata barakuda mto msimbazi, fuatilia hadith hii upate utamu zaidi…
Casts: Juma Kilowoko, Wastara Juma, Salim Ahmed
Story - Wastara Juma, written - Juma Kilowoko, Camera - Yusuph Qras, Light/sound - Ahma Nikotusa, Director & Editor - Juma Kilowoko, Ass Director - Karim Sweya & Alex Sponga, Wajey Films Company