Categories

Mdundiko

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2014

Mzee Njimba na Mzee Kondo ni marafiki tangu utotoni, pia wanamahusiano yanatokana na ndoa ya watoto wao. Kwa bahati mbaya watoto wao walifariki na kumuacha Kondo amuangalie mjukuu wake Chumi.

Njimba ni mtu mwenye kiburi anajulikana kwa uwezo wake wa kupiga ngoma na kuwapanga wachezaii. Pamoja na Hondomola yenye sifa mbaya inayoshawishi watu kuwa na mahusiano zaidi ya mpenzi mmoja.

Wakati Kondo anapata umaarufu wa ngoma ya Hondomola, Njimba na rafiki zake walimfukuza Kondo na familia yoke pale kijijini. Wakati huo Njimba akiendeleza ngoma yake, watu walianza kuathirika kwa kushiriki kwao ngoma ya Hondomola.

Njimba anajaribu kuwatibu kwa tiba za jadi ambazo hata hivyo hazikusaidia, Itachukua muda kwa Chumi na kizazi kipya kufahamu jinsi ya babadiliko ya tamaduni yanavyoweza kutitishia maisha ya jamii yao.

CASTS: LUMOLE MATOVOLWA, RICHARD MASINDE, JULIETH SAMSON, VERONICA SHAYO, SALIM OMARY AND HISSANI MUYA;

A SWAHILIWOOD PRODUCTION Presents SUNSHINE; Screen Play by TIMOTHY CONRAD, OMARY CLAYTON AND ABDU SIMBA Edited by TIMOTHY, Director of Photography Timothy Conrad; Executive Producer by JOHN RIBER; Produced by TIMOTHY CONRAD Directed by JACKSON KABIRIGI

Manufactured & distributed In Tanzania by Proin Promotions Ltd. 32 Ursino St, Regent Estate, Dar es Salaam, Tanzania, info@proinpromotions.com +255-222-77-55-67 or +255-789-249-577

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy