SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Maisha ya Wakina Dada wenye kutetea na kutafuta njia ya kuimarisha ndoa zao kwa waume zao, lakini wakutana na zao tofauti na walilolitegemea ni sawa na kupanda mahindi hali ya kuwa ukitegemea kuyavuna na badala yake kuvuna maharagwe
Cast: Aunty Ezekiel, Husna Iddy, Jacquiline Wolper, Tino Muya, Juma Rajab, Rachel Haule
Story & Script Adam Kasale, Light Malcom, Sound Mandela Ungate
Director Adam Kasale, Editpr Farid Uweza, Executive Producer Step Entertainment, Produced by Cream Entertainment, Production Manager Leah Richard