Categories

Millosis (City of Magic) S01E4-6

Genre: Adventure, Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

Millosis (City of Magic) Season One, episode 4-6

Kutokea jumba la dhahabu mtunzi na muongozaji bingwa wa tamthilia hapa nchini Tuesday Kihangala anakuletea hadithi tamu ya Millosis. Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya mwanadamu na hasa yakiwa ndani ya ndoa iliyoridhiwa na mwenyezi Mungu.

Kwa kawaida harusi ni tukio la pili furaha kwa mwanadamu lakini itakuwa tofauti kwa harusi ya Ttieo na Batuli baada ya kundi kubwa la watu waliosafiri kutokea Dares-Salaam kwenda Millosis kushuhudia harusi ya wawili hao wanajikuta wameingia kwenye mji wa adhabu.  Theo na Batuli wanajikuta safari ya harusi yao inawakutanisha mahasimu wawili baba Theo (Ganzel) na baba yake Batuli (Madiwa).
Fuatilia kisa hiki chenye utata mkubwa ndani ya tamthilia hii ya kwanza Tanzania inayotingisha Television nyingi Africa.

Casts: Charles Magari, Charles Makunja, Jacquline Pentzel, Ibrahim Banane

Story Tuesday Kihangala, Producer Tuesday Kihangala, Edited by Khamis Kihangala, Executive Producer Dilesh Solanki, Director Tuesday Kihangala

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy