SKU: DT461 | DVD I | Year -
Kingwendu anapania kugombea Ugunge ili aingie bungeni kutetea haki za wasanii. Anapata pesa toka kwa wafadhili wake jimama Fatma … Kingwendu akasahau mipango sio matumizi.
Mussa Banzi Comedy & White Elephant Group.
Cast: Amri Athumani (Mzee Majuto); Rashidi Mwinshehe (Kingwendu); Rajabu Jumanne (Chilli); Fatna Faraji (Fatna); Chausiku Hamidu (Kishtobe); Anete Petro (Anet) & Hamisi Bakari (Ndele).