SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Ni tatizo ambalo huwezi kulitolea ufafanuzi na pia huwezi kulitegemea linapotokea kwa mtu wa makamo, lakini ni tatizo kubwa na lipo ndani ya jamii zetu zinazotuzunguka, matokeo yake ni aibu, fedheha na karha..tatizo gani hilo?
Cast: Nice Mohammed, Auntie Ezekiel