SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Waswahili hawakukosea waliposema fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuuzi! Pamoja na upendo na wema wote aliouonyesha Jackline kwa Sarafina bado Sarafina anaona zawadi ya kumlipa Jackline ni kutoa uhai wake! Fuatilia mwenyewe kisa hiki uone jinsi mauti yalivyohalalishwa kuwa mshahara wa wenye dhambi.
Cast: Zamda Mwera, Halima Rashid & Hashim Kambi.