SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Ni kisa kingine kitakachokustaajabisha na kukuacha mdomo wazi! Utajionea jinsi watu wenye sifa nzuri na nyadhifa kubwa katika serikali na jamii, lakini kumbe nao wapo kwenye Mtandao; mchana watu usiku wanaruka!
Casts: Mshindo Jumanne, Mary Robert, Mohammed Nurdin (Chekibudi), Ahmed Olotu (Chillo)