SKU: DT461 | DVD I | Year -
Majuto na Kingwendu katika mtafaruku mkubwa baada ya Kingwendu kuingia jijini akitokea Kibada. Lakini mtafaruku unazidi pale swali linapobaki vichwani kwako kuwa nani mume bwege?
Casts: Rashid Mwinshehe (Kingwendu), Mohamed Amri (King Majuto), Zuhura Iddi, Kido Ufudu, Mariam Shah, Khadija Pius, Ayubu Hamisi, Rajabu Jumanne, Jacob William, Husna Hussein, Ismail