SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Baada ya pastor Patric (Emmanuel Myamba) kufanikiwa kuliangusha kanisa anatoweka pasopojulikana huku akiwaacha waumini katika njia panda, Shetani anazidi kutawala na kuingia kwenye mioyo ya waumini ambapo Tatyana (Blandina Chagula) mke wa Chriss Durra (Mohammed Mwikoni) anaamua kujiunga na kumuuacha mumewe katika wakati mgumu….
Cast: Mohammed Mwikongi (Chriss Durra), Emmanuel Myamba (Pastor Patric), Blandina Chagula (Tatyana)
BS Production & Christians Promoters Ltd. Presents, Story & Script Sales Mapunda, Director Sales Mpunda, Assistant Director Mohammed Mwikongi, Camera Dullah Wezi, Executive Producer Daniel Bassila