SKU: DT461 | DVD I | Year - 2011
Mfanyabiashara Baki Bobani, anaagiza kutoka Brazil kuja Dar kwa njia ya meli, lakini kabla hujapata, Mzee wa Bandari (DUDE) kwa kutumia ujanja wake wa mjini anampiga changa la macho… Angali jinsi mzee wa bandari anayojua jinsi ya kucheza na document iwe ya bandari au yoyote zitakazopita mbele yake
Casts: Kulwa Kikumba, Flora Mvungi, Mary Mwita, Agustino Mathias, Rashi Nassor, Mbaraka Ghafoor, Edna Kilimbe, Mhando Mgaya, Kaike Siraji, Amne Ghaffor, Adarusi Idrissa