Categories

Naja Leo Naondoka Leo Tanga

Genre: Comedy,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2011

Mapenzi yaweza kuwa matamu kama asali, pale wapendanao wanapotambua thamani ya penzi lao. Na yaweza yakawa shuribi pale mmoja wao atakaposaliti penzo. Mwanamkaso binti wa mzee Majuto
anasaliti penzo la Khamis mtoto wa mzee Small. Kwa kua na mahusiano ya kimapenzi na Tupatupa. Hatimae Khamisi anashuku mahusiano ya kimapenzi na Tupatupa. Hatimae Khamis anashuku Mwanamkasi kubadilika tabia na kuamua kutangaza ndoa kitu kinachopelekea Tupatupa kuchukia na kuamua kuitoa roho ya mwanamkasi

Casts: Said Gamba (Mzee Small), Amri Athumani (King Majuto), Chausiku Salum (Bi Chau), Kiko Salum (Mwansiti), Khamis Rwambow, Hamisi Rambo (Hamisi Chau), Rose Maiko ( Mwanamkasi), Anna Riwa, Beatrice Pascal, Seleman Mandai, Razaku, Kilian Christopher

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy