SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
H. Baba arejea baada ya kudhaniwa kufa kwa muda mrefu… anakuta mke wake ametelekezwa mtaani na mwanae meuwawa na ndugu ambao walitawala mali zake zote na kutelekeza familia
Cast: H. Baba, Kenedy Victor, Florah Mvungi, Latifa Idabu, Jully Tax, Salma Nisha
Camera by Muhkseen & Julytaa, Written by Jully Taa, Story by July Taa, Sound by H. Baba, Directed by July Taa, Light by July Taa, Executive Producer by Splash, Produced by Florah Mvungi