SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Waswahili wanasema lijalo halitabiriki, Kelvin na Robby ni ndugu waliokuwa pamoja. Robby hawezi kufanya kitu bila mssada wa Kelvin, umefika wakati wa kuoa, Kelvin aishie U.S.A inabidi aje kunisaidia Robby ampate Monalisa. Je? Watafanikiwa fuatilia
Cast: Jacob Stephen, Warda Walid, Mahsein Awadh
Director: Jacob Stephen, Story by Jacob Stephen, Camera Yusuph Kisoki