SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Peace of mind, Siku zote nilikuwa nadhani pesa ndio kila kitu, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote kumbe sio kila kitu kinaweza kununuliwa na pesa. Pesa inaweza kununua chakula bali si hamu ya kula. Dina na Diana dada wa tumbo moja wote wakiwa na mtazamo tofauti katika maisha ya familia yao fautilia kisa hiki
Cast: Jacob Stephen, Vicent Kigosi, Blandina Chagula, Irene Uwoya, James Temu
LandLine Production, Script by Ally Yakuti, Story by Vicent Kigosi, Camera by Razack Ford, Eidted by Vicent Kigosi, Produced by Blandina Chagula, Executive Producer RJ Company, Directed by Vicent Kigosi