Categories

Periscopers

Genre: Action, Crime,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2014

Keith Chamala “KC” (Herry Mapesi) anashikiliwa kwa kosa la mauaji ya rafiki yake Denis Nyamwihula (Daudi Michael) na watu wengine, upelelezi juu ya matukio hayo ya mauaji unaofanywa na Kasim Tizo (Issa Mussa - 112) na mwenzake James Temu (Suleiman Barafu) chini ya kitengo cha upelelezi wanbaini uharamia unaofanywa na baadhi ya watumishi wa taasisi fulani ya uchunguzi kwa maslahi yao binafsi. Fuatilia kisa hiki cha kusisimua kinachohusiana na matukio mbalimbali

Casts: Issa Mussa, Herry Mapesi, Ester Flavian, Juhudi Maulidi, Suleiman Barafu

Real Dream Production presents A Katala Matovolwa Film, Story Iddi Bigilwa Script Katala Matovolwa, Iddi Bigilwa & Jihn Mwimbe, Camera Fadhili Mahogola, Production Manager John Mwimbe, Director Katala Matovolwa, Makeup Khadija Jarufu, Editor Katala Matovolwa, John Mwimbe & Mbwana Kitingi, Production Designer Katala Matovolwa, Executive Producer Steps Entertainment

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy