SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Dalali anawaunganisha mwanamziki na promoter kikazi. Lakini Promoter anabuni kazi nyingine ya kufanya na mke wa mwanamziki, pia mke wa Dalali, fuatilia ujue ilikuwaje na mwisho ni nini…
Casts: Yusuph Mlela, H-Baba, (Hussein Mkiety) Sharobaro, Hussein Machozi, Sakila