Categories

Regina

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010

Mungu alivyotuumba hakika tunatofautiana sana. Tuko wapole, wakorofi na hata wastaarabu, sisi sote ni sehemu ya jamii na tuaishi pamoja. Regina ni mwanamke msomi, tajiri lakini mkorofi anayefanya mapenzi ya mdogo wake Rita na shemejiye George kuwa Mchungu. Hakika anatakiwa ashughulikiwe vipi? na nani?

Casts: Jacob Stephen, Adam Kuambiana, Bridgite Gehula, Tabia Anania

Wananchi Wote Co. Ltd. Ikishirikiana na Jerusalem Film Company “REGINA” Jacob Stephen, Adam Kuambiana, Bridgite Gehula, Tabia Anania, Mtayarishaji Farhad Mohamed, Muongozaji Adam Kuambiana, Mhariri Marco Kilo, Mpiga Picha Stephen Shoo, Story Jacob Stephen

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy