SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Usinione nimenyamaza ukadhani nahirahishwa na matendo yako, haujui moyoni mwangu naumia kiasigani. Lakini namshukuru mungu kwa yote yanayotokea katika maisha yangu kwani najipa mayo kuwa ipo siku yataisha na nitakuja kusahau yote yanayonifanya nijute.
Casts: Aisha Bui, Yekonia Watson, Hussein Mkiety, Loveness Watson