Categories

Roho Sita Revelation

Genre: Fantasy, Horror,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2008

Baada ya Kelly kusimbuka na jini la Roho SIta na kubahatika kutolewa kanisani, Maisha yake na Donelly yanaanza upya kwa kuishia pamoja kama Mume na Mke, ghafla mambo ynabadilika na Mzimu wa roho sita kuanza kuwasumbua tena. Vifo vya ajabu vikiambatana na kutokewa na mtoto wa ajabu vinaweka katika hali ya mashaka na wasijue nini cha kufanya, ikiwa Kelly ni mzima, nani muhusika mwingine?

Casts: Evans Komu, Chuchu Hans, Riyama Ally, Khalid Mohamed, Jackqueline Wolper, Charles Magari

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy