SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Prisca ni mwanamke ambaye anaamini katika msimamo, mara zote humtetea mumewe yupo tayari hata kukosana na ndugu na jamaa hata marafiki, lakini mwisho wa siku alijikuta anaingia kwenye matatizo makubwa sana
Casts: Stanley Msungu, Jennifer Kyaka, Ruth Suka
Story Leah Richard Mwenda Mseke, Script Lamata Entertainment, Producer Jenifer Kyaka, Ex-Producer J.Film 4Life, Production Uwezo Production, Director Leah Richard