Categories

Secretary

Genre: Action, Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Sodana, binti aliyebahatika kuolewa na kijana mwenye pesa, lakini alipata gonjwa hatari la ukimwi na kujikuta akimuambukiza mke wake huyo. Sodona anaamua kulalamika kwa mumewe lakini anageuziwa kibao na kufukuzwa nyumbani hapo. Baadae binti huyo anapata kazi na kuwa secretary katika kampuni moja jijini hapa, hapo ndipo kizaazaa kilipoibuka, kwani bosi na meneja walilitolea macho umbile zuri la msichana Sodona,

Casts: Jacqueline Wolper, Yusuf Mlela, Charles Magari

Director Faris Wezi, Story Makame J Bajomba, Cameraman Farid Wezi, Producer Makame J. Bajomba, Editor Fard Wezi

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy