SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012
Ndoto zangu ni kuwa milionea kwa kutumia kipaji changu pia najaribu kubadilika badilika kama kinyonga iliniweze kutimiza ndoto zangu ila kwa kutumia staili yangu hii hi! ya Usharabaro. Je kazi ya polisi nitaiweza? mimi ni milionea bwana
Casts: Masele, Sharobaro, Matumaini, Zimwi, Tin White