SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Familia ya mzee Mapunda ilikuwa ikiishi kwa amani na furaha akiwa na watoto wake Nancy na Michael mpaka pale alipomleta Dorcas ambaye alikuwa ni Mtoto wa nje wa Mr. Mapunda, Dorcas ndiye aliyekuja
kuharibu furaha na amani katika familia hiyo… Je, ilikuwaje? fuatilia kisa hiki kwanini SHE IS MINE…
Casts: Halima Yahaya, Ndumbagwe Misayo, Emmanuel Chacha, Mwasiti Mohamed, Khamis Mpinga, Hashim Kambi
Story Khadija Abdallah, Script Emmmanuel Mapunda, Producer Halima Yahaya, Light Juma Mbonde, Editor & Graphics Kenny Haitch, Sound Omari Ally, Director Emmanuel Mapunda