SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Ninapokutizama ninaona taswira tofauti kabisa, ninaona taswira ya binti mwenye urembo wa ulimb, mwenye hadhi ya pambo, ambaye taabu ya magaidi ya maisha imempiga kumbo na kwa sasa haoini njia ya kukwama kama ndege aliyenaswa kwenye ulimbo
Casts: Vincent Kigosi, Irene Uwoya, Haji Adam
Story by Vincent Kigosi, Directed by Vincent Kigosi, Produced by Blandina Chagula, Script Ally Yakuti, Producer Blandina Chagula, Executive Producer RJ Company, Production Manager Blandina Chagula, Camera Farid Uwezo, Make up by Mwansiti Mohamed,
Sound Man Barghash Said, Written by Ally by Ally Yakuti