SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Thomas anajikuta anaingia kwenye Malumbano na mama yake baada ya kifo cha mkewe akilazimishwa kuoa siku moja baada ya kifo cha mkewe…., Je Thomas atafanya nini?
Casts: Deogratius Shija, Salma Jabu, Fatuma Makongoro, John Stephano
Story Deorgratius Shija, Camera Pius Mponda, Script Hassan Ahmad, Director Deogratius Shija