SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Wasichana watatu Angel, Queen na Glory wanpendwa sana, wakiwa katika furaha yao, furaha hiyo inakatishwa na mwaume katili Keneth. Fuatilia kwa makini mapenzi yanapoingiliwa urafiki wao na kuutenganisha….
Cast: Jacque Pentzel, Wema Sepetu, Rose Ndauka