SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Usinione nimenyamaza ukadhani nafurahishwa na matendo yako, haujiu moyoni mwangu naumia kiasi gani, lakini namshukuru Mungu kwa yote yanayotokea katika maisha yangu, kwani najipa moyo kuwa ipo siku yataisha na nitaweza kusahau yote yanayonifanya nijute
Casts: Jacqueline Wolper, Yekonia Watson, Loveness Watson, Ndumbangwe Misayo