Categories

Tifu la Mwaka

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010

Ni filamu inayozungumzia juu ya maisha ya familia 2, familia hizo zilikuwa na urafiki wa karibu sana baina ya Mr. Barafau na Mr. Claud, watu hawa ni watu walioshiba sana na kila sehemu walikuwa pamoja, lakini mwisho wa siku mabesti hao kujua kila mmoja kwa nyakati tofauti anajikuta anazama kwenye mapenzi na mdogo wa mwenzie kutokana na tabia mbaya ya kupenda wanawake tofauti tofauti kimapenzi
baina ya Cloud na Barafu, wakaja baini kila mmoja kutembea na mdogo mwenzake na hapo ndipo linapokuja TIFU LA MWAKA

Casts: Issa Mussa, Ummy Wenceslaus, Suleiman Barafu, Baby Madaha

Story & Script Cynthia Cloud & Isa Mussa (112 Cloud), editor Sama, Camera Nick, Production E-Media, Director Issa Mussa Cloud 112

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy