SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Kadri Maisha yanavyozidi kuwa magumu ndivyo tunavyozidi kukata tamaa na pengine kuingia kwenye wimbi la upofu na maasi, na hatimaye kujiskia kutengwa, Hivyo ndivyo Faiza alivyojikuta anaingia kwenye mtego wa tamaa ya kujiuza na kumuia vigumu kujiengua. Ugumu wa maisha siyo mwisho wa maisha, kwa kutiwa tamaa na bwana mmoja aliyeona maisha maisha duni ya Faiza…. Je ni nini kinachfuata baada ya Faiza kukutana na bwana huyo?
Cast: Mahsein Awadhi, Faiza Ally, Yusuph Mlela
Story & Script by Faiza Ally, Camera Yusuph Qras, Directed by Mahsein Awadh, Editor Yusuph Qras, Producer Faiza Ally, Produced by JST Production Company