SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, lakini vyote vinahitaji mipango madhubuti ili kufikia malengo… Mambo yakiwa mabaya upande wako basi ujue ndio muda wa kujipanga na kufikiria kilichotokea ili usirudie
makosa kwa kile unachotarajia kufanya
Cast: Lucy F. Komba, Agatha Mtoi, Angel Dominic, Alice Bagenze, Hemedi Kavu, Idris Sd
Story and Script Lucy F. Komba, Camera Immanuel Samson, Director Tony Akhwesa, Editor Raha Matola