Categories

Umetuumiza

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year -

Wala huchagui yeyote, huwaangamiza walio na hatia na wasio na hatia. Hebu ona mtoto mchanga anayezaliwa tu, jamani hata huruma na mapenzi ukimsaidia yule anaelia wakati anaangamia ukijichanganya na kosa kidogo unaangamizwa. Ona imekuwa ni silaha ya maangamizo kwa jamii. Bwana Maiko anajitahidi kumsaidia nduguye aliye katika mapambano ya Janga hilo. Je alifanikiwa kushinda? Na ni Janga gain hilo? Fuatilia ndani ya UMETUUMIZA.

Cast: Mahsen Awadh; Stelah Ernest; Salum Khamis; Amina Yahya & Michael Hoya.

KKT- DMP Presents “UMETUUMIZA” Produced by KKT DMP Ustawi wa Jamii

Story by- Mwamini C. Chuma; Directed by- Florian Lawrence; Assistant Director- Mahsein Awadh

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy