SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Kazi ya upelelezi ni kazi inayoruhusu usiri mkubwa sana. Hubidi hata kuwaficha siri nyingi wale uwapendao na wakutegemeao. Je, ni nini mikasa na visa viwapatavyo wapelelezi katika maisha ya kazi na nyumbani?
Casts: Sydney Khanga, Jackqueline Pentzel, Florah Mvungi, Hashim Kambi, Hassan Hamza
Story Sydney S. Khanga, Director Sydney S. Khanga, Executive Producer Lusekelo Mbwele