SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Kukutana kwetu ilikuwa kwa bahati mbaya tu. Nilikuwa sijawahi kumuona hata siku moja. Lakini ghafla nilimuona akiokea kwenye bafu la chumba changu… sikuwa namhitaji naye hakuwa ananihitaji, ...Ndoa inaweza kuwa kuwa ni ya bahati mbaya lakini sio tenso la uongo…
Cast: Kajala Massanja, Issa Musa, Jacob Stephen
Story by Jacob Stephen, Script Daniel, Directed by Jacob Stephen, Produced by Jerusalem Film Company, Executive Producer Queen Irene, Production Cutzcut Entertainment